Skip to main content

Fataawaa: Kulipa Swawm Na Sitta Shawwaal02-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Je, Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zinapaswa Kwa Wanaume Na Wanawake?

 Je, Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zinapaswa Kwa Wanaume Na Wanawake?

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

"Ni kwa wanaume na wanawake."

[Al-Fataawaa 20/17)]