Skip to main content

Fataawaa: Kulipa Swawm Na Sitta Shawwaal10-Imaam Ibn Baaz Na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Je, Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zinapaswa Kufungwa Mfulululizo?

 Je, Swiyaam Za Sitta Shawwaal Zinapaswa Kufungwa Mfulululizo?

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) Na Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn Baaz (Rahimahu Allaah) amesema:

"Inajuzu kuzifunga mfululizo au kutokufululiza."

[Al-Fataawaa 15/391)]