Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya 'Iyd Na Siku Ya 'Iyd04-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Hukmu Ya Anayepunguza Takbiyrah Al-Ihraam Katika Swalaah Ya ‘Iyd

Hukmu Ya Anayepunguza Takbiyrah Al-Ihraam Katika Swalaah Ya ‘Iyd

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

"Swalaah yake ni sahihi ikiwa atafupisha Takbiyrah Al-Ihraam kwa sababu Takbiyrah Al-Ihraam za ziada ni Sunnah."

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/238)]