Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya 'Iyd Na Siku Ya 'Iyd08-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Nini Hukmu Ikiwa Imaam Amenitangulia Nikakosa Takbiyrah Za Ziada?

Nini Hukmu Ikiwa Imaam Amenitangulia Nikakosa Takbiyrah Za Ziada?

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)

www.alhidaaya.com

Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah) amesema:

"Ikiwa ameingia pamoja na Imaam akiwa katika Takbiyrah basi akabbir (Allaahu Akbar) kwanza, kisha amfuate Imaam katika yaliyobakia na itamuondokea kwake yaliyompita yatakuwa hayampasi tena."

[Majmuw’ Al-Fataawaa (16/245)]