Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 01-Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamme Haijuzu Kuiacha Kwa Sababu Ya Kazi Au Masomo n.k

Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamume

Haijuzu Kuiacha Kwa Sababu Ya Kazi Au Masomo Na Kadhaalika

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Swalaah ya Ijumaa ni Fardhw ‘Ayn (Fardhi kwa kila mtu mwanamme) wala haijuzu kuiacha kwa sababu ya kazi au masomo  na sababu kama hizo.

Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):

“Na yeyote anayemcha Allaah; Atamjaalia njia ya kutoka (shidani).”

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/184)]