Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 02-Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamme Haijuzu Kuikhalifu Hata Ukikatazwa Na Mwajiri Wako

Swalaah Ya Ijumaa Ni Fardhi Kwa Kila Mwanamme

Haijuzu Kuikhalifu Hata Ukikatazwa Na Mwajiri Wako

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Swalaah ya Ijumaa ni fardhi kwa kila mwanamme mwenye kukafilika katika ‘Ibaadah, mkazi, wala haikupasi kuikhalifu kwa sababu ya kazi hata kama mwajiri wako atakukataza.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/185)]