Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 04-Swalaah Ya Ijumaa: Haifai Kuzungumza Kamwe Pindi Khutba Ya Ijumaa Inapotolewa

Haifai Kuzungumza Kamwe Pindi Khutba Ya Ijumaa Inapotolewa

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Haifai kwa mtu anayekuweko Masjid kuongea na yeyote yule pindi khutbah ya Ijumaa inatolewa.

Ama Imaam, yeye anaweza kuongea inapombidi kwa lile analoliona lina maslahi.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/201, 202)]