Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 03-Swalaah Ya Ijumaa: Wanaume Kuswali Ijumaa Misikitini Wanawake Nyumbani

Wanaume Kuswali Ijumaa Misikitini Wanawake Nyumbani

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Ni wajibu kwa wanaume kuswali Ijumaa pamoja na ndugu zao Waislamu katika nyumba za Allaah (Misikitini). Ama wanawake wao hawana Ijumaa na ni wajibu kwao kuswali Adhuhuri.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/196)]