Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 06-Swalaah Ya Ijumaa: Vipi Kuitikia Kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam)

Vipi Kuitikia Kumswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam)

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Khatwiyb (wa Ijumaa) anapomswalia Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), waitikie wanaomsikiliza (Maamuma) bila ya kupandisha sauti.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/217)]