Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 07-Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Anayepitwa Na Rakaa Ya Swalaah Ya Ijumaa

Hukmu Ya Anayepitwa Na Rakaa Ya Swalaah Ya Ijumaa

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Anayepitwa na Rakaa katika Swalaah ya Ijumaa, na akaipata Rakaa nyingine, basi aiswali ile Rakaa (iliyompita) na hivyo atakuwa amepata Ijumaa kwa sababu limesihi kutoka kwa Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) hilo.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/225)]