Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 08-Swalaah Ya Ijumaa: Wajibu Kwa Imaam Kuwasalimia Maamuma Baada Ya Kupanda Minbari

Wajibu Kwa Imaam Kuwasalimia Maamuma Baada Ya Kupanda Minbari

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Ni Sunnah kwa Khatwiyb (wa Ijumaa) kuwasalimia maamuma anapopanda minbari kabla ya kukaa kitako (kusubiri Adhana).

 [Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/234)]