Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 10-Swalaah Ya Ijumaa: Hukmu Ya Kumuombea Rahmah Anayepiga Chafya Au Kurudisha Salaam Wakati Imaam Anakhutubia

 Hukmu Ya Kumuombea Rahmah Anayepiga Chafya

Au Kurudisha Salaam Wakati Imaam Anakhutubia

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Kauli iliyo sahihi ya ‘Ulamaa ni kwamba, haijuzu kumuombea rahmah anayepiga chafya wala kurudisha salaam wakati Imaam (Khatwiyb) anakhutubia.

[Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/242)]