Skip to main content

Fataawaa: Swalaah Ya Ijumaa 11-Swalaah Ya Ijumaa: Hakuna Sunnah Rawaatib Katika Swalaah Ya Ijumaa

Hakuna Sunnah Rawaatib Katika Swalaah Ya Ijumaa

Al-Lajnah Ad-Daaimah

www.alhidaaya.com

Hakuna Sunnah za  Rawaatib za qabliyyah (kabla ya Swalaah) katika Swalaah ya Ijumaa. Lakini anaweza kuswali Sunnah atakazo kabla ya kuingia Imaam.

  [Al-Lajnah Ad-Daaimah (8/249)]