Skip to main content

Zawadi Kwa Wanandoa17-Zawadi Kwa Wanandoa: Unapomwingilia Mkeo

Zawadi Kwa Wanandoa

 17-Kinachosemwa Unapomwingilia Mkeo

 ما يقال عند الجماع

Mume anaomba anapomuingilia mkewe kwa du'aa aliyofundisha Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa sallam) :

بسم الله اللهّم  جنّبنا الشيطان وجنّب الشيطان ما رزقتنا

“BismiLLaah, Ee Allaah, tuepushie sheitani na Umuepushe kwa kile Utakachoturuzuku.” (Al-Bukhaariy na Muslim)