008-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kabla Kutawadha

Hiswnul-Muslim

008-Du’aa Ya Kabla Kutawadha

www.alhidaaya.com

 

 

 Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

[12]

 

بِسْمِ الله

BismiLLaah

 

Kwa jina la Allaah[1]

 

 

 

[1]Hadiyth ya Abu Hurayrah na wengineo (رضي الله عنهم) Hadiyth kikamilifu ni:

((لا صَلاةَ لِمَنْ لا وُضُوءَ لَهُ، وَلا وُضُوءَ لِمَنْ لَمْ يَذْكُرِ اسْمَ اللَّهِ عَلَيْهِ))

((Hakuna Swalaah kwa asiyekuwa na wudhuu, na hakuna wudhuu kwa asiyeutajia  jina la Allaah)) - Abu Daawuwd, Ibn Maajah, Ahmad, na taz Irwaa Al-Ghaliyl (1/122)

 

 

 

 

Share