Hiswnul-Muslim 007-Du’aa Ya Kutoka Chooni www.alhidaaya.com Bonyeza Hapa Usikilize [11] غُفْـرانَك Ghufraanak Nakuomba maghfira[1] (Ee Allaah). [1]Hadiyth ya ‘Aaishah bint Abi Bakr As-Swiddiyq (رضي الله عنهما) - Aswhaab As-Sunan isipokuwa an-Nasaaiy ameitoa katika ‘Amal Al-Yawm wal-Laylah. Taz takhriyj Zaad al-Ma’aad (2/386). Book traversal links for Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa) ‹ 006-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kuingia Chooni Up 008-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kabla Kutawadha ›