052-Hiswnul-Muslim: Kumlakinia Anaetokwa Na Roho

Hiswnul-Muslim

052-Kumlakinia Anaetokwa Na Roho

www.alhidaaya.com

 

 

Bonyeza Hapa Usikilize

 

 

 

[153]

 

  مَنْ كَانَ آخِرُ كَلامِهِ لا إِلَهَ إِلا اللَّهُ دَخَلَ الْجَنَّةَ

 

Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وسلم) amesema: ((Mwenye kuwa neno lake la mwisho ni

 

لا إلهَ إلاّ اللّه

Laa ilaaha illa-Allaah

 

Hapana mwabudiwa wa haki ila ni Allaah

 

ataingia Jannah))[1]

 

 

[1]Mu’aadh bin Jabal (رضي الله عنه) - Abu Daawuwd (3/190) [3116] na angalia: Swahiyh Al-Jaami’ (5/432) [6479].

 

 

Share