Skip to main content

Hiswnul-Muslim: Du’aa Na Adhkaar Kusoma Na Kwa Kusikiliza (Toleo Lilohaririwa)058-Hiswnul-Muslim: Du’aa Ya Kumuingiza Maiti Ndani Ya Kaburi

Hiswnul-Muslim

058-Du’aa Ya Kumuingiza Maiti Ndani Ya Kaburi

www.alhidaaya.com

Bonyeza Hapa Usikilize

[163]

بِسْـمِ اللهِ وَعَلـى سُـنَّةِ رَسـولِ الله  

BismilLLaahi wa ’alaa Sunnati RasuwliLLaah

Kwa jina la Allaah, na kwa Sunnah ya Rasuli wa Allaah[1]

 

[1]Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Ummar (رضي الله عنه) - Abu Daawuwd (3/314) [3213] kwa isnadi Swahiyh na Ahmad (2/40) kwa lafdhw ya:

بِسْمِ اللّه وَعلى مِلَّة رَسول الله

((BismilLlaahi wa ‘alaa millati RasuwliLLaah)) na Isnaad yake ni Swahiyh