Skip to main content

Hiswnul-Muslim

005-Du’aa Ya Kuvua Nguo

www.alhidaaya.com

 Bonyeza Hapa Usikilize

[9]

بِسْمِ الله

BismiLLaah

Kwa jina la Allaah[1] (ninavua).


[1]Hadiyth ya ‘Aliy bin Abiy Twaalib na Anas bin Maalik  (رضي الله عنهما) - At-Tirmidhiy (2/505) na wengineo na taz Al-irwaa Namba [50] na Swahiyh Al-Jaami’ (3/203)