mapishi

TAARIFA:

 

AlhamduliLLaah, APP Mpya ipo tayari, tatizo kuu limeshatatuliwa. Unaweza sasa ku-Install katika simu yako uhifadhi, na uwe una Update kila baada ya muda kwa sababu tumo bado katika kuendelea kuboresha kwa kila aina.

 

Tafadhali UN-INSTALL kwanza APP ya zamani kisha ndio u Install APP Mpya ili usikutane na matatizo yoyote yale.

 

Bonyeza ikupelekea katika Play Store

 

 

 

 

APP Mpya

 

 

 

 

Tumeboresha Mapishi kwa kila upande na tutaendelea kufanya hivyo; mfano kubadilisha picha za zamani kila tunapojaaliwa kupika upya pishi fulani. Pia tunaongeza Mapishi Mapya kila tunapojaaliwa uwezo. Na tumefungua sehemu ya Mapishi ya Kiingereza kuitikia maombi ya wengi wenu. Na pia Icon ya Share inapatikana. Maombi yenu yatatekelezwa In Shaa Allaah ya Mapishi APP iandaliwe katika Apple Store.

 

Tafadhali tuandikie kupitia mapishi@alhidaaya.com ukiwa na maoni yoyote ya kuzidi kuboresha Mapishi haya au kama kuna tatizo lolote.

 

 

We have updated the Mapishi and will continue to do so; for example by replacing old pictures whenever we are able to re-cook a certain dish. We are also adding up new Mapishi (recipes) when it is feasible. We have opened an English section of Mapishi responding to many requests received. Share Icon is also available. Your request to produce The English Mapishi APP under Apple Store will be fulfilled In Shaa Allaah.

 

 

Please contact us via mapishi@alhidaaya.com for any further improvement or if there is any error. 

 

 

Copyright 2005 - 2021

 

Hairuhusiwi kucopy Mapishi yetu kwa ajili ya kuandaa APP kama hii. Na hairuhusiwi kuandaa kitabu au nakala za digital kwa ajili ya kukiuza, bali inaruhusiwa ku copy au kuchapisha Mapishi kwa ajili ya kutumia mwenyewe au ku-share kwa ajili ya kunufaisha wengineo. Pia inaruhusiwa kujifunza kupika Mapishi haya kisha kuyafanyia biashara ya binafsi kwa ajili ya kujipatia rizq, kwa sababu kazi hii imekusudiwa fiy SabiyliLLaah; Swadaqah Inayoendelea (صَدَقَةٌ جارِيَة), Elimu Ya Kunufaisha (عِلْمٌ يُنْتَفَع).  Tunakaribisha Mapishi yenu mkipenda kuchangia kwa ajili hii.

 

It is prohibited to copy our Mapishi for the purpose of producing a similar APP. It is also prohibited to produce a book or digital copy for selling it; rather it is allowed to copy or print Mapishi for self-use or sharing to benefit others. It is also allowed to learn to cook these Mapishi and establish a self-business to get rizq (sustenance), because this task is intended fiy SabiliLLaah; Ongoing Charity (صَدَقَةٌ جارِيَة) and Beneficial Knowledge (عِلْمٌ يُنْتَفَع). We welcome your recipes to be added herein, if you intend for this purpose.