Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

054-Sifa Ya Swalah Ya Mtume (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam): Wajibu Wa Kujikinga Kutokana Na Mambo Manne Kabla Ya Kuomba Du’aa

 

Wajibu Wa Kujikinga Kutokana Na Mambo Manne Kabla Ya Kuomba Du’aa

 

Alikuwa (صلى الله عليه وآله وسلم) akisema: ((Atakapomaliza mmoja wenu Tashahhud (ya mwisho) aombe kujikinga kwa Allaah kutokana na mambo manne, aseme:

اللّهُـمَّ إِنِّـي أَعـوذُ بِكَ مِـنْ عَذابِ جَهَـنَّم، وَمِـنْ عَذابِ القَـبْرِ، وَمِـنْ فِتْـنَةِ  المْحْـيا وَالمْمـاتِ، وَمِـنْ شَـرِّ (فِتْـنَةِ)  المْْسِيحِ الدَّجَّال

“Allaahumma inniy a’uwdhu Bika min ‘adhaabi Jahannam, wamin ‘adhaabil qabri, wa min fitnatil mahyaa wal-mamaat, wamin sharri [fitnatil] Masiyhid-Dajjaal”

“Ee Allaah, mimi najikinga Kwako] na adhabu za  moto (wa Jahannam) na adhabu za kaburi na fitna ya uhai, na ya kufa, na shari ya [fitna] ya Masiyhid-Dajjaal)) [Kisha ajiombee mwenyewe kinachompata]([1]) Alikuwa (صلى الله عليه وآله وسلم) akiomba (du’aa) katika Tashahhud yake”([2])

Pia alikuwa (صلى الله عليه وآله وسلم) akiwafundisha Maswahaba (رضي الله عنهم) hivyo kama alivyowafundisha Surah za Qur-aan”([3])



[1] Muslim, Abu ‘Awaanah, An-Nasaaiy na Ibn Al-Jaruud katika Al-Muntaqaa (27). Imetolewa katika Al-Irwaa (350).

[2] Abu Daawuud na Ahmad ikiwa na isnaad Swahiyh.

[3]  Muslim na Abu ‘Awaanah.


Book traversal links for Sifa Ya Swalah Ya Mtume (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam)

  • ‹ 053-Sifa Ya Swalah Ya Mtume (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam): Wajibu Wa Kumswalia Mtume (صلى الله عليه وآله وسلم)
  • Up
  • 055-Sifa Ya Swalah Ya Mtume (Swalla Allaahu 'Alayhi Wa Aalihi Wa Sallam): Kuomba (Du’aa) Kabla Ya Kutoa Salaam Na Aina Zake ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.