Skip to main content
⌂
Alhidaaya.com homepage
slogan image
  • Log in

left sidebar menu

  • Qur-aan
  • Hadiyth
  • Sunnah
  • Tawhiyd
  • Aqiydah
  • Manhaj
  • Shirki & Kufru
  • Bid-'ah (Uzushi)
  • Salaf Wa Ummah
  • Firaq-Makundi
  • Fiqh-Ibaadah
  • Duaa-Adhkaar
  • Fataawa Za Ulamaa
  • Kauli Za Salaf
  • Akhlaaq-Aadaab
  • Raqaaiq
  • Familia-Jamii
  • Maswali-Majibu
  • Chemsha Bongo
  • Vitabu
  • Mapishi

22-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Hajj Na 'Umrah: Kunyoa Na Kupunguza Kwa Mwenye Kufanya Tamattu’u

Swahiyh Fiqh As-Sunnah

Mlango Wa Hajj Na ‘Umrah

22-Kunyoa Na Kupunguza Kwa Mwenye Kufanya Tamattu’u

Alhidaaya.com

Hujaji mwenye kufanya Tamattu’u akimaliza Kusai baina ya As-Swafaa na Al-Marwah, atavua Ihraam ya (atatahalluli na) ‘Umrah yake kwa kunyoa au kupunguza. Ni bora apunguze nywele kuliko kuzinyoa, kwa kuwa atakuja kuzinyoa zote Siku ya An-Nahr (tarehe 10) baada ya kumaliza ‘amali za Hajj. Katika Hadiyth ya Jaabir, Nabiy (Swalla Allaah ‘alayhi wa aalihii wa sallam) amesema:

((حلوا من إحرامكم فطوفوا بالبيت وبين الصفا والمروة، وقصروا، وأقيموا حلالا حتى إذا كان يوم التروية فأهلوا بالحج...))

((Vueni Ihraam zenu, mtufu Nyumba na [msai] baina ya As-Swafaa na Al-Marwah, na punguzeni nywele, na kaeni mkiwa hamna Ihraam mpaka inapofika Siku ya At-Tarwiyah, hirimieni Hajj)). [Hadiyth Swahiyh. Imekharijiwa na Al-Bukhaariy (1568) na Muslim (1216)]

Akipunguza, anakuwa huru, na anaruhusiwa kufanya kila kitu hata kujimai mpaka Siku ya At-Tarwiyah.


Book traversal links for 06-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: كِتابُ الْحَجّ وَالْعُمْرَة - Kitabu Cha Hajj Na 'Umrah

  • ‹ 21-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Hajj Na 'Umrah: Ahkaam Za Sa’yi Baina Ya As-Swafaa Na Al-Marwah
  • Up
  • 23-Swahiyh Fiqh As-Sunnah: Mlango Wa Hajj Na 'Umrah: Sunnah Za Kutoka Kwenda Minaa ›
moon-icon

Mafunzo Katika Miezi Ya Hijri Ya Kutekeleza Na Ya Kujiepusha

  • Muharram
    image
    مُحَرَّمْ
  • Swafar
    image
    صَفَرْ
  • Rabiy’u Al-Awwal
    Rabiy’u Al-Awwal
    رَبيعُ الْأَوًّلْ
  • Rabiy'u Al-Aakhir
    Rabiy'u Al-Aakhir
    رَبيعُ الآخِرْ
  • Jumaadaa Al-Uwlaa
    image
    جُمَادَى الْأُوْلَى
  • Jumaadaa Al-Aakhirah
    image
    جُمَادَى الْآخِرَة
  • Rajab
    image
    رَجَبْ
  • Sha'baan
    Shabaan
    شَعْبَانْ
  • Ramadhwaan
    iocn
    رَمَضَانْ
  • Shawwaal
    image
    شَوّالْ
  • Dhul-Qa’dah
    image
    ذُو الْقَعْدَةْ
  • Dhul-Hijjah
    icon
    ذُو الحِجَّةْ
Alhidaaya.com homepage
  • Kuhusu Alhidaaya
  • Maoni Yako-Wasiliana Na sisi (Contact Us)
  • Tovuti Muhimu

© 2026 Alhidaaya.com All rights reserved.