Kauli Za Salaf
Ya Kwanza Kupotea Katika Dini Ni Kuacha Sunnah
‘Abdullaah bin Ad-Daylamiy (Rahimahu Allaah)
“Jambo la mwanzo lililopotea katika Dini ni kuacha Sunnah, huondoka Dini Sunnah kwa Sunnah kama linavoondoka jabali nguvu kwa nguvu.”
[Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah (1/93)]