Kauli Za Salaf
Hakuna Khayr Kwa Asiyependa Kunasihiwa
Amiyr Al-Muuminiyn 'Umar bin Al-Khattwaab (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema:
"Hakuna khayr kwa watu wasiotoa nasaha. Na hakuna khayr kwa watu wasiopenda kunasihiwa."
[Risaalat Al-Mustarshidiyn, uk.71]