Kauli Za Salaf
Ee Allaah! Usimjaalie Mzushi Akanisaidia, Ukaja Moyo Wangu Kumpenda!
Ibn Mubaarak (Rahimahu Allaah)
“Ee Allaah! Usimjaalie mzushi akanisaidia ukaja moyo wangu kumpenda.”
[Al-Llaalakaaiy katika Sharh Uswuwl I’tiqaad Ahlis-Sunnah Wal-Jamaa’ah (1/140)]