Kauli Za Salaf Qur-aan
Utafika Wakati Qur-aan Itahamwa Hadi Itandwe Buibui
Imaam Adhw-Dhwahaak (Rahimahu Allaah)
Imaam Adhw-Dhwahaak (Rahimahu Allaah) amesema:
"Itafika zama ambapo watu watatundika misahafu kiasi cha kutandwa na buibui na watu hawafaidiki nayo."
[Jami’ Bayaanul ‘Ilm (3/271)]