Kauli Za Salaf: ‘Ilmu-Da’wah
Dunia Yote Ni Kiza Isipokuwa Vikao Vya ‘Ulamaa
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah)
Imaam Hasan Al-Baswriy (Rahimahu Allaah) amesema:
Dunia yote ni kiza isipokuwa Majaalis Al-‘Ulamaa (vikao vya Wanachuoni)
[Jaami’ Bayaan Al-‘Ilm wa Fadhwalih 264]