Kauli Za Salaf: Kufru-Shirki
Kucheza Dansi Na Aina Zake Kuitakidi Kujikurubisha Kwa Allaah Ni Kufru
Imaam Ibn Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah)
‘Ulamaa wote wamekubaliana na kuhukumu kwamba kucheza dansi (kudhikiri na kuchezesha vichwa n.k.) kwa ajili ya kujikurubisha kwa Allaah (Ta’aalaa) ni kufru.
[Swayd Al-Khaatwir (154)]