Kauli Za Salaf: 'Aqiydah-Tawhiyd
Kuamini Qadar Kunaondosha Masongo Ya Moyo Na Huzuni
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn Al-Qayyim (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Kuwa na Iymaan katika Qadar (Ya Allaah) na kuridhika nayo humwondoshea mja masongo ya moyo na huzuni.”
[Madaarij As-Saalikiyn (2/264)]