Kauli Za Salaf
Mbora Ni Yule Anayekutakia Khayr
Imaam Ibn Hibbaan (Rahimahu Allaah) amesema:
"Bora wa ndugu ni wale wanaomtakia khayr mwenzao. Ni bora kupigwa na mtu anayekutakia khayr, kuliko kusalimiwa na mtu mwovu."
[Ar-Rawdhwah, uk. 195]