Kauli Za Salaf: 'Aqiydah-Tawhiyd
Tawhiyd Ni Mwanzo Na Mwisho Wa Dini, Dini Ya Ndani Na Nje
Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
Amesema Imaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu-Allaah)
“At-Tawhiyd ni mwanzo wa Dini na ni mwisho wa Dini na ni Dini ya ndani na ya nje pia.”
[Minhaajus-Sunnah (349)]