Kauli Za Salaf: Kufru-Shirki
Shirki Ni Jinai Juu Ya Haki Ya Allaah (عز وجل)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Allaah Haghufurii ushirikina kamwe (asipotubia mtu kabla ya mauti) kwani ni jinai juu ya haki ya Allaah, nayo ni Tawhiyd."
[Al-Qawl Al-Mufiyd Uk. 75]