Kauli Za Salaf: Firaq (Makundi)
Anayetukana Maswahaba Hana Fungu Katika Uislamu
Imaam Maalik (Rahimahu Allaah)
Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) amesema:
“Yule anayetukana Maswahaba hana fungu katika Uislamu.”
[Al-Ibaanah Asw-Swughraa (123)]