Kauli Za Salaf
Watu Wa Bid'ah Ni Watu Waovu
Imaam Maalik bin Anas (Rahimahu Allaah)
Imaam Maalik bin Anas (Rahimahu Allaah) aliulizwa kuhusu Watu wa Hawaa (Matamanio),
'je, wanasalimiwa?'
Akajibu:
"Watu wa Hawaa ni watu waovu, hawasalimiwi, na kutengana nao kunapendeka zaidi kwangu."
[Taariykh Ibn Ma'iyn, juz. 1, uk. 190].