Kauli Za Salaf: ‘Ibaadah
Du’aa Ni Silaha Ya Wenye Nguvu Na Wanyonge
Imaam As-Sa’dy (Rahimahu Allaah)
“Du’aa ni silaha ya wenye nguvu na wanyonge na kimbilio na himaaya ya Manabii na Waja wema, na kwa du’aa wanajikingia kila balaa.”
[Majmuw’ Muallafaatih (23/736/)]