Anatakiwa mtu aitikie mwaliko hata kama amefunga kutokana na kauli ya Mtume صلى الله عليه وآله وسلم: ((إذَا دُعِيَ أحَدُكُم فَلْيُجِبْ، فإنْ كَانَ مُفْطِراً فَلْيَطْعَمْ، وَإنْ كَانَ صَائماً فَليُصَلِّ)) ( وَالصَّلاَةُ الدُّعَاءُ) ((Anapoalikwa mmoja wenu chakula inampasa akubali. Ikiwa hakufunga basi na ale, na kama kafunga basi ashiriki katika Swalah (Du'aa) zake)) (Na Swalah ni Du’aa”)[1] [1] Muslim, Ahmad na wengineo Book traversal links for Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika (آداب الزفاف في السنة المطهرة) ‹ 31-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Ni Wajibu Kuitikia Mwaliko Up 33-Adabu Za Ndoa Katika Sunnah Iliyotakasika: Kufungua Swawm Kwa Ajili Ya Mwenyeji (Aliyekualika) ›