| Aingie Wapi Katika Ihraam Akiwa Anasafiri Kutoka Uingereza? |
| Aliyefariki Akihijiwa, Dhambi Zake Zitafutika Japo Hakuwahi Kutubia Alipokuwa Hai? |
| Amekufa Hajafanya Hajj Na Alikuwa Na Uwezo Wa Kufanya Lakini Akapuuzia’ Je, Anaweza Kulipiwa Hiyo Hajj Na Jamaa Zake? |
| Anataka Kuhiji Lakini Ana Deni La Nyumba Benki |
| Anaweza Kumfanyia Mzazi Aliyefariki Hajj? |
| Anaweza Kumlipia Mumewe Gharama Za Kwenda Hijjah? |
| Anaweza Kwenda Hajj Ikiwa Ana Deni La Swawm Za Ramadhwaan? |
| Atekeleze Fardhi Ya Hajj Kwanza Au Aoe? |
| Bandari Wanayotumia Mahujaji Saudia Inaitwaje? |
| Du'aa Gani Kuomba Unapokunywa Maji Ya Zamzam? |
| Fadhila Za Siku Ya ‘Arafah, Sababu Zake Na Tofauti Ya Nyakati Baina Ya Nchi |
| Hajj Itasihi Akiwa Na Uhasama Na Wengine? |
| Hijja Wanayopelekwa Watu Na Serikali Au Mialiko Ya Nje Inafaa? |
| Hijja Yake Imekubaliwa Ikiwa Amekwenda Bila Mahram? |
| Ikiwa Ana Ukhasama Na Jamaa Za Mumewe, Akienda Hijjah, Je Itakubaliwa Hijjah Yake? |
| Kuchelewesha Kusherehekea Sikukuu Ya ‘Iyd Kwa Ajili Ya Wasaa Inafaa? |
| Kuchukua Mkopo Kwa Ajili Ya Kumpeleka Mzazi Hajj Inafaa? |
| Kuchukua Mkopo Wa Ribaa Kwa Ajili Kwenda Hijjah Inafaa? |
| Kufanya Hajj Na Huku Familia Yake Inalishwa Na Serikali Ulaya; Hawakusema Serikalini Kuwa Wameoana |
| Kumfanyia ‘Umrah Baba Yake - Je Kuna Muda Fulani Wa Kungojea Baada Ya Kutekeleza Yeye Kwanza 'Umrah Yake? |
| Kumgharimia Mtu Hijjah Kabla Ya Kufanya Mwenyewe Inafaa? |
| Kumlipia Gharama Za Hijjah Mwanamke Aliyekuwa Na Mahusiano Naye Yasiyo Halali |
| Kumpeleka Hajj Mzazi Kwa Pesa Za Hawara |
| Kutumia Dawa Za Kuzuia Hedhi Wakati Wa Hijjah |
| Kuvaa Nguo Ya Kijani Katika Kutimiza Fardhi Ya Hajj Ni Sunnah? |
| Kuwagharimia Wazazi Kwenda Hajj Kabla Ya Kufanya Mwenyewe |
| Kuzuia Kukata Nywele Na Kukata Kucha Ni Kwa Familia Nzima Au Kwa Mtu Mmoja Anayechinja Au Kugharamia Uchinjaji? |
| Kwenda Hajj Na Wazazi Ikiwa Mume Hataki Inafaa? |
| Maulidi: Kuna Ushahidi Aliyerudi Hajj Asomewe Maulidi? |
| Mume Anaweza Kumlipia Mke Kufanya Hijjah. Kuna Sharti Zozote Zinazopaswa Kutimizwa? |