Maswali Ya Nikaah - Talaka - Eda
| Akienda Kazini ndio talaka Yake – Mume Hamhudumii yeye wala watoto wake Afanyeje? |
| Akiwa Amemdanganya Mumewe Atakuwa Ametalikika (Talaka)? |
| Alimuoa Mwanamke Bila Ya Kumpenda Ila Ameshika Dini Sana, Sasa Hana Raha Naye, Ana Khofu Kumuacha |
| Ameachika Kisha Mume Kamuingilia Baada Ya Mwezi Bila Ya Kumtamkia, Itakuwa Ni Talaka Rejea? |
| Ameachika Talaka Tatu Bado Anampenda Mumewe Aolewe Na Kuachika Ili Warudiane? |
| Ameandika Talaka Miezi Minne Nyuma Ila Alikuwa Anasita, Mwishowe Amemtamkia Mkewe Talaka, Mke Ahesabu Ametalikiwa Tokea Lini? |
| Amedai Talaka, Anasema Sababu Ni Husda Na Shaytwaan |
| Amekhasimikiana Na Mumewe Muda Wa Miaka 15 Mume Hamuulizi Lolote Na Hakumtamkia Kuwa Kamuacha, Je Ameachika? |
| Amemshtaki Mahakamani Akamtisha Atamfanyia Kitendo Kibaya, Naye Akamshtaki, Sasa Miezi Sita Wametengana, Je, Talaka Imeshapita? |
| Amemtamkia Mke Aliye Aasi Anakufuru Dini Yake Talaka Tatu Mbali Mbali Kisha Bado Anamtaka. Mke Wa Pili Anataka Kuachwa |
| Amemtamkia Talaka Zaidi Ya Mara Tano Nyakati Mbali Mbali |
| Amemuacha Mke Mkubwa Kwa Wazazi Wake Ambako Hakuna Masikilizano – Mume Hamdumii Je Ana Haki Kudai Talaka? |
| Ameoa Kisha Ameacha Kwa Vile Mke Hana Maadili – Anataka Kumrudia Mkewe Lakini Mama Hayuko Radhi |
| Ameoa Wamepata Mtoto Lakini Kamwacha Kwa Ajili ya Wazazi Wake |
| Ameolewa Na Mume Mwengine Bila Kupewa Talaka Na Mumewe – Talaka Imetolewa Na Viongozi Wa Taasisi – Nini Hukmu Yake? |
| Ametamka Talaka Kwa Hamaki Kuwa Pindi Mkewe Akitoka Nje Ya Ndoa Itakuwa Talaka Yake – Anaweza Kurudisha Kauli Yake? |
| Anafaa Kuachika Ikiwa Mume Hawezi Tendo La Ndoa? |
| Anataka Talaka Kwa Mumewe Ili Aolewe Na Mimi |
| Anaweza Kuolewa Iikiwa Talaka Ya Kwanza Ni Moja Na Ya Pili Ni Talaka Mbili? |
| Haki Za Wanandoa Na Kuhusu Mahari Ya Mke Aliyepewa Talaka Bila Kuingiliana Na Mumewe |
| Hampendi Mumewe, Hawana Masikilizano, Hawalali Pamoja Miaka Anadai Talaka Lakini Mume Hataki Kutoa – Je Ndoa Inasihi Bado? |
| Ikiwa Mume Hajamgusa Mkewe Muda Wa Miezi Mitatu Ina Maana Kuwa Keshamtaliki? |
| Kampa Talaka Mkewe Kwa Fatwa Ya Shekhe Kuwa Ndoa Haisihi Baada Ya Kumuingilia Kwa Nyuma |
| Kitoka Nyumba Hupewa Mke Mkubwa Pindi Mume Anapooa Mke Wa Pili? |
| Kiwango Gani Mke Avumilie Maudhi Ya Mume? Na Sababu Zipi Za Kuomba Talaka? |
| Kumposa Mwanamke Katika Eda |
| Kumrejea Mke Baada Majosho Tatu |
| Kumtamkia Mke Talaka Kisha Kutaka Kumrudia |
| Kuna Du’aa Ya Kumfanya Mume AtoeTalaka Kiwepesi? |
| Kuomba Talaka Bila Sababu |