Maswali Ya Nikaah - Talaka - Eda
| Mume Anamfanyia Uchawi – Je Adai Talaka? |
| Mume Ananitaka Tena Baada Ya Talaka Tatu |
| Mume Anapenda Sana Muziki Anafaa Kuomba Talaka? |
| Mume Anataka Kunipa Talaka Kwa Sababu Siwezi Kumlea Mtoto Wa Mke Wake |
| Mume Anataka kuvunja ndoa yetu Nifanyeje? |
| Mume Haelewani Na Nduguze, Kampa Talaka Yumo Ndani Ya Arubaini Je, Talaka Yake Imesihi? |
| Mume Hajiwezi Je Mke Anaweza Kudai Talaka? |
| Mume Hajulikani Kama Kazama Baharini Au Yuhai, Je Mke Akae Eda? |
| Mume Hakufuata Taratibu Za Talaka |
| Mume Inampasa Amhudumie Mke Katika Eda? Mume Anayo Haki Ya Kudai Mahari Ikiwa Mke Anataka Kuachika? |
| Mume Kaahidi Kutoa Talaka (Tatu) Ikiwa Mke Alifanya Zinaa Kabla Au Baada Ya Kumuoa Naye Mke Amefanya Zinaa Lakini Ameficha |
| Mume Kamtamkia Mkewe Talaka Kisha Akataka Kumrejea Katika Eda, Mwanamke Anayo Haki Kukataa Kurudiana Na Mumewe? |
| Mume Kaniingilia Wakati wa Eda – Hatimizi Sheria Za Kunihudumia?? |
| Mume Kanioa Kwa Kunidangangya Hana Mke Kisha Hataki Kunipa Talaka |
| Mume Kasema Nikifanya Jambo Nimetalikika Nami Nimefanya Na Kumdanganya Nini Hukmu Yake? |
| Mume Kumwambia Mkewe Kuwa Akistarehe Naye Ndio Talaka Sasa Anajuta Kwani Anamtaka Mkewe Afanyeje? |
| Mume Kutamka 'Kila Mtu Ajue Maisha Yake' Ina Maana Ni Talaka? |
| Mwanamke Ana Haki Kuomba Talaka Ikiwa Haridhiki Na Mumewe? |
| Mwanamke Anayo Haki Ya Kuwatii Wazee Wake Kudai Talaka Kwa Mumewe Ambaye Wamekaa Miaka Kumi Bila Kupata Kizazi? |
| Niko Kwenye Eda Ya Talaka Naweza kurudiana Na Mume Wangu? |
| Nilihama Nyumba Ya Mume Wangu Nikiwa Na Mimba, Mume Hakunihudumia Hadi Nimezaa, Anataka Nirudi |
| Nimedai Talaka Sababu Mume Ana Ukimwi Kisha Anataka Kuoa Mke Mwengine Nami Sikuwafiki |
| Nimekaa Eda Ya Uwongo Kwa Kuogopa Maneno Ya Watu |
| Nimemaliza Eda Ya Talaka Lakini Bado Ananipigia Simu, Je Inafaa? |
| Nimemdanganya Mume Wangu, Je, Nimeachika? Na Je, Inanipasa Nikae Eda? |
| Nimemkimbia Mume Wangu Kwa Sababu Ya Kunipiga. |
| Nimempa Talaka Mke Wa Mwanzo Lakini Bado Nampenda |
| Nimempa Talaka Mke, Ananidai Niuze nyumba Na Shamba Ili Apewe Kiwango Kikubwa Cha Mata'aa (Kitoka Nyumba) |
| Nimeshindwa Kuvumilia Mume Wangu Kuoa Mke Wa Pili, Je Naweza Kudai Talaka? |
| Nini Maana Ya Talaka Ya Ilaa Vipi Inatolewa? |