Maswali: Vyakula Vya Halali
Vyakula Vya Halali
Kumbikumbi Wanafaa Kuliwa?
SWALI:
assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, amma baada. kuna itilafu nyingi zijadiliwazo kuhusu ulaji wa Kumbikumbi je, inaswihi kula kumbikumbi kisheria?
Kula Tambuu Inafaa?
SWALI:
Assalam alaykum
Je kula tambuu inafaa kwa sababu kuna watu waliokuwa wanakula mirungi wamiacha lakini sasa wanakula tambuu
JIBU:
Hukmu Ya Gelatini Katika Madawa Na Vyakula
SWALI:
Asalam aleykum warahmatullah wabarakat shukrani sana kwa kuanzisha hii website ambayo inatufundisha mengi sana kuhusu Dini yetu. Allaah awape kheri ya hapa duniani na ya akhera amin.
Swali langu linahusu dawa za vitamin ambazo nimenunua ni za kumeza na nilivyozisoma ziko na gelatin na gelatin yenyewe haijaandikwa kama imetokana na mnyama au mimea je ni haramu kama nikizitumi?
SWALI:
Assalamu Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa Nini Nguruwe Na Mbwa Haraam?
SWALI:
Na naomba unipe maelezo yanayofanya mbwa na nguruwe wawe haramu... just i need points that lead them to be haram to islam society
JIBU: