Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu
Hedhi-Nifaas-Ghuslu
Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu
SWALI:
Assalam alaykum
Nilikuwa na mimba baina ya miezi miwili au mitatu, nikaharibu mimba. Nilivyopata mafunzo kuwa inakuwa ni damu ya Istihaadhwah na hivyo napaswa kusali na kufunga. Lakini damu hiyo ni nzito na imetoka mapande mapande. Je hukmu yake ni sawa tu na Istihaadhwah? Nitashukuru kupata majibu.
Maswali: Twahara Hedhi-Nifaas-Ghuslu
Anapata Matone Ya Damu Wakati Ana Mimba Je Anatakiwa Afanye Ghuslu Kila Anaposwali?
SWALI:
Assalam alykum.
kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote wanaoshiriki katika kuiimarisha website hii ambapo wengi wetu tunakuwa tunafaidika na mengi ndani yake, in shaaAllah Allah atawalipa kila lenye kheir.