Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 41-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Majimaji Yanayomtoka Mwanamke Anapaswa Afanyeje?

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

41-Majimaji Yanayomtoka Mwanamke Anapaswa Afanyeje?

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Nini kinacholazimu pindi kiwiliwili au inapopatwa na majimaji hayo?

JIBU:

Akiwa ni tohara haimlazimu chochote, na ikiwa ni najisi ambayo inatoka katika kinena basi ni wajibu wake kusafisha.