Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 42-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Anapotokwa Na Majimaji Je Inatosha Aoshe Viungo Vya Wudhuu Pekee?

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

42-Anapotokwa Na Majimaji Je Inatosha Aoshe Viungo Vya Wudhuu Pekee?

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

 Kuhusuana na udhu wa majimaji hayo je itatosheleza kukosha viungo vya udhu tu?

JIBU:

Naam, itatosheleza hilo pindi ikiwa ni tohara nayo ni ambayo inatoka kwenye nyumba ya kizazi na sio kwenye kinena.