Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 44-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Wanawake Wasiojua Kutawadha Nini Hukmu Yake

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

44-Wanawake Wasiojua Kutawadha Nini Hukmu Yake

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Nini hukumu ya kutokujua hukumu ya kutawadha  kwa baadhi ya wanawake?

JIBU:

Ni kutubia kwa Allaah na kuwauliza wenye elimu ya hilo.