Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 43-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?

 Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

43-Kuna Hadiyth Kuhusu Kutokwa Majimaji?

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Ni kwa nini haikunukuliwa kutoka kwa Nabiy Hadiyth inayothibitisha kutenguka kwa uwdhu kutokana na majimaji yale pamoja na kuwa Maswahaba walikuwa wakijali mno kutoa fatwa katika mambo ya Sini yao?

JIBU:

Ni kwa kuwa majimaji haya hayamtoki kila mwanamke.