Skip to main content

Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Fataawaa: Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas 58-Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Mwenye Hedhi Siku Ya ‘Arafah Afanye Nini?

Fataawaa Mas-ala 60 Kuhusu Hedhi Na Nifaas

58-Mwenye Hedhi Siku Ya ‘Arafah Afanye Nini?

Imaam Ibn 'Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)

Alhidaaya.com

SWALI:

Mwanamke akiwa na hedhi siku ya ‘Arafah afanye nini?

JIBU:

Mwanamke akiwa na hedhi siku ya ‘Arafah basi ataendelea na Hijjah yake na kufanya wanaofanya watu wala haruhusiwi kutufu katika Nyumba (Al-K’abah) hadi atoharike.