Skip to main content

Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi

(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)

Alhidaaya.com

الْحَفِيُّ

الْحَفِيُّ

Al-Hafiyy

Mwenye Kutoa Utukufu

Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

قَالَ سَلَامٌ عَلَيْكَ ۖ سَأَسْتَغْفِرُ لَكَ رَبِّي ۖ إِنَّهُ كَانَ بِي حَفِيًّا ﴿٤٧﴾

 (Ibraahiym) Akasema: Salaamun ‘Alayka. (Amani iwe juu yako). Nitakuombea maghfirah kwa Rabb wangu. Hakika Yeye daima ni Hafiyy kwangu (Mwenye kunihurumia sana). [Maryam (19): 47]