Skip to main content

Sharh Asmaa Allaah Al-Husnaa Wa Swifaatihi

(Maelezo Ya Majina Mazuri Ya Allaah Na Swiffah Zake)

Alhidaaya.com

الأَكْرَمُ

الأَكْرَمُ

Al-Akram

Mkarimu Kuliko Wote

Anasema Allaah (سبحانه وتعالى):

اقْرَأْ وَرَبُّكَ الْأَكْرَمُ ﴿٣﴾

Soma na Rabb wako ni Mkarimu kushinda wote.  [Al-‘Alaq (96): 3]