Skip to main content

Ibn ‘Abbaas (رضي الله عنهما): Kujifunza ‘Ilmu Usiku Ni Bora Kuliko Kukesha Muda Mwingi Kwa Swalaah

Kujifunza ‘Ilmu Usiku Ni Bora Kuliko Kukesha Muda Mwingi Kwa Swalaah  

Ibn ‘Abbaas (Radhwiya Allaahu ‘Anhumaa)

Alhidaaya.com

Amesema Ibn ‘Abbaas (Radhwiya Allaahu ‘Anhumaa)

“Kusoma ‘Ilmu sehemu ya usiku ni bora kuliko kukesha (kutumia muda mwingi) kwa Swalaah za usiku.’

[Jaami’ul-Bayaan Al-‘Ilmi Wa Fadhwlihi Juz 1, uk 117]