Skip to main content

Imaam Al-Albaaniy: Haijuzu Kuwapiga Watoto Kabla Ya Umri Wa Miaka Kumi

Haijuzu Kuwapiga Watoto Kabla Ya Umri Wa Miaka Kumi

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah)

Alhidaaya.com

Imaam Al-Albaaniy (Rahimahu Allaah) amesema:

“Haijuzu kuwapiga Watoto kabla ya umri wa miaka kumi bali inawajibika kuwafanya urafiki.”

[Fataawaa Jiddah Shariytw (26)]